A composite created on Wednesday, April 22, 2026 featuring Health Minister Mark Butler and the NDIS, flagging cuts to the National Disability Insurance Scheme as the government seeks to curb growth to about 5 per cent. (AAP Image/Susie Dodds) NO ARCHIVING Source: AAP / Susie Dodds/AAPIMAGE
Wiki hii umakini mkubwa umekuwa kwenye Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu (NDIS), serikali ya shirikisho ikitangaza makato ambayo yanakadiriwa yata ondoa makumi ya maelfu ya watu kwenye mfumo huo.

Lakini pia kumekuwa na maendeleo katika utunzaji wa wazee.
Serikali sasa imebadilisha sera yake kuhusu ufadhili wa kuoga, baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wakazi, familia, na wanaharakati.