Mwezi mtukufu wa Ramadan ume anza, Waislamu kote duniani wakisherehekea Iftar katika siku ya pili ya kipindi cha mfungo.
Nchini Australia, kumbi kadhaa zina hudumia idadi inayoongezeka ya waumini, kumbi hizo zikifunguliwa muda mrefu baada ya jua kutua na hadi alfajiri.
Mwezi Mtukufu hutamatika kwa Eid - mamilioni ya Waislamu watakusanyika mwezi ujao (Machi) ili kufungua mfungo wao kwa karamu na sherehe za dhati.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





