Waziri Mkuu amemteua 'mratibu wa mafuta' kusaidia kushughulikia masuala ya mnyororo wa ugavi yaliyosababishwa na vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati.
Hatua hiyo imejiri wakati shirika la kufuatilia ushindani likiwachunguza wauzaji wakuu wa mafuta kwa madai ya tabia mbaya.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





