Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Makala leo: Wito wa mabadiliko makubwa watolewa baada ya wagonjwa wa afya ya akili kutoroka Sydney

NSW Police, detectives, and forensics at the scene of a triple stabbing in Merrylands, Sydney

NSW Police, detectives, and forensics at the scene of a triple stabbing in Merrylands, Sydney, Tuesday, February 17, 2026. A man has been taken into custody after a person has died and two others are in a critical condition following a stabbing in Sydney’s west this morning. (AAP Image/Bianca De Marchi) NO ARCHIVING Source: AAP / BIANCA DE MARCHI/AAPIMAGE

Serikali ya New South Wales inachunguza mazingira yaliyozunguka kutoroka kwa wagonjwa wawili kutoka hospitali moja, ambao siku chache baadaye walidaiwa kuhusika katika matukio tofauti ambapo watu watatu walifariki.


Published

Updated

By Alexandra Jones, Haylena Krishnamoorthy

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Serikali ya New South Wales inachunguza mazingira yaliyozunguka kutoroka kwa wagonjwa wawili kutoka hospitali moja, ambao siku chache baadaye walidaiwa kuhusika katika matukio tofauti ambapo watu watatu walifariki.


Wataalamu wa afya ya akili wamesema hali hiyo imeangazia tena mgogoro wa afya ya akili wa jimbo hilo.

Wikendi iliyopita, wanawake wawili wenye umri wa miaka 60 na 84 waliuawa katika ajali ya gari kusini-magharibi mwa Sydney.

Kama unahitaji msaada, wasiliana na mashirika haya: Lifeline 13 11 14 or beyondblue 1300 22 4636

Kwa taarifa zaidi, bonyeza hapo juu.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now