Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Messi aweka rekodi yamuda wote yakufunga magoli katika Kombe la Dunia

FIFA World Cup 2026: Austria Vs Argentina JUN 22

June 22, 2026: Argentina forward Lionel Messi celebrates his history-making goal during FIFA World Cup group stage action between Argentina and Austria at Dallas Stadium in Arlington, Texas. Source: SIPA USA / Michael Dorn/Cal Sport Media/Sipa USA/AAP Image

Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, akifunga mara mbili nakusaidia Argentina kuishinda Austria 2-0 mjini Dallas, na kujihakikishia nafasi ya kwanza katika Kundi J, pamoja na nafasi katika hatua ya mchujo.


Published

By Yumi Oba

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, akifunga mara mbili nakusaidia Argentina kuishinda Austria 2-0 mjini Dallas, na kujihakikishia nafasi ya kwanza katika Kundi J, pamoja na nafasi katika hatua ya mchujo.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Katika Kundi I, Timu ya Iraq inayo ongozwa na Mwalimu Graham Arnold, ilipata kichapo cha magoli 3 dhidi ya Ufaransa mjini Philadelphia, Kylian Mbappé aki adhimisha mechi yake ya kimataifa ya 100 kwa kufunga bao mbili. Mechi hiyo iliahirishwa kwa zaidi ya masaa mawili kwa sababu ya hali mbaya ya hewa, mara ya kwanza kwa mashindano hayo kukatizwa na hali ya hewa.

Wakati Australia ikijiandaa kwa pambano lake la mwisho la kundi lao dhidi ya Paraguayi katika Kombe la Dunia, Waziri Mkuu Anthony Albanese ame hamasisha taifa kuwaunga mkono Socceroos, akiisifu timu hiyo kama kielelezo cha utofauti na moyo wa Australia.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now