Shirika la Nishati la Kimataifa linaonya viongozi wa dunia huenda hawathamini, kina cha mgogoro wa nishati unaokaribia, huku vita vya Marekani na Iran vikiendelea.
Kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz kumesababisha uhaba wa mafuta duniani, ambao wataalamu wanasema utakuwa na athari kubwa na kali.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





