Mutamba alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma, zikiwemo za faida kwa waathirika wa vita. Hukumu hiyo imetolewa baada ya Mutamba kukutwa na hatia yaku kiuka utaratiba wa utoaji wa zabuni kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa gereza, ambalo liko mashariki mwa mji wa Kisangani lenye thamani ya dola milioni 40 zaki Marekani.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.