Muthoni Gitau ni muuguzi ambaye pia hu elimisha jamii kuhusu magonjwa ya akili, haswa ugonjwa wa akili unao pelekea mtu kusahau. Kwa Kiingereza ugonjwa huo unajulikana kama Dementia.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bi Muthoni alizungumza kwa upana kuhusu ugonjwa huo na mbinu ambazo unaweza tumia kuukabili.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.