Sheria hizo zimewazuia Wakenya kufanya biashara ndogo ndogo Tanzania.
Kupitia taarifa rasmi, Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda ya Kenya imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu amri ya Tanzania iliyoanza kutekelezwa Julai 28, ambayo inawazuia raia wa kigeni kushiriki katika baadhi ya sekta za biashara.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.