Mgombea wa Urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina aelezwa na Tume huru ya uchaguzi ya Tanzania, INEC, hapaswi kuwania urais. INEC pia imefuta barua yake ya urejeshaji wa fomu ya uteuzi, na kumzuia kutofika katika ofisi za tume hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.