Waziri wa Shirikisho wa Mawasiliano amesema Optus inastahili tarajia adhabu kubwa, kufuatia kupotea kwa huduma ya namba ya dharura ya 000, hali ambayo ime husishwa na vifo kadhaa.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Mamlaka ya Vyombo vya habari na Mawasiliano ya Australia [[ACMA]] imezindua uchunguzi kwa, kupotea kwa huduma hiyo mamlaka wakitaka kupata taarifa kutoka kampuni hiyo ya simu kwa ajili yaku elewa kilicho tokea.
Wakati huo huo Waziri Wells amesema, serikali inazingatia kuwasilisha mfumo kamili wa kujitegemea kujibu kashfa hiyo.





