Chama cha Liberal cha shirikisho kina endelea kujiweka mbali na kashfa kuhusu wahamiaji kutoka India, siku kadhaa baada ya Seneta aliye wajibishwa kwa madai hayo kufutwa kazi kutoka uwaziri kivuli.
Ujumbe mkubwa wa serikali kutoka jijini Kinshasa, unatarajiwa mjini Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia, baada ya kushuhudiwa kwa maandamano yenye vurugu kwa siku kadhaa zilizopita, yaliyopangwa na mashirika ya kiraia na wapiganaji wa Wazalendo, kumkataa Jenerali Olivier Gasita kuongoza usalama katika eneo hilo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.