Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa kiwanda hicho ana uhakika wa kubadilisha tofauti hiyo na uagizaji.

Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa kiwanda hicho ana uhakika wa kubadilisha tofauti hiyo na uagizaji.

Kiongozi wa chama cha upinzani Afrika Kusini, Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka sheria za matumizi ya silaha, kufuatia tukio la mwaka 2018 ambapo alifyatua risasi hadharani wakati wa mkutano wa kisiasa. Hata hivyo, ameachiwa huru kwa dhamana akisubiri rufaa itakayosikilizwa baadaye.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now