Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari:Umaarufu wa chama cha One Nation, walazimisha vyama vya kisiasa nchini kubadili mitazamao yao

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema serikali lazima zishughulikie mfadhaiko katika uchumi unaoongezeka, baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha ongezeko la uungwaji mkono kwa chama cha One Nation.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema serikali lazima zishughulikie mfadhaiko katika uchumi unaoongezeka, baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha ongezeko la uungwaji mkono kwa chama cha One Nation.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Kura hiyo ya maoni inajiri huku kukiwa na mjadala kuhusu mageuzi ya kodi yaliyopendekezwa na Labour, ambayo yanakabiliwa na upinzani kutoka kwa Upinzani wa Mseto Muungano na bado hayajapata uungwaji mkono kutoka kwa chama cha Green.

Aliyekuwa Naibu Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua amepata pigo kubwa mahakamani, baada ya jopo la majaji watatu kutupilia mbali kesi ya kupinga kutimuliwa kwake serikalini. Katika uamuzi wa majaji Freda Mugambi, Anthony Mrima na Eric Ogolla, walisema kwamba sheria zilifuatwa katika mchakato mzima wa kumtimua Bw Gachagua uongozini.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now