Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari:Burundi yaanza chanjo dhidi ya saratani ya kizazi

Bench - Swahili.jpg

Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anahimiza China kuanza tena usafirishaji wa mafuta ya ndege yanayo letwa Australia, baada ya mkutano na mwenzake wa China.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anahimiza China kuanza tena usafirishaji wa mafuta ya ndege yanayo letwa Australia, baada ya mkutano na mwenzake wa China.


Ripoti ya muda mfupi ya Tume ya Kifalme ya Kupinga chuki dhidi ya wayahudi na Mshikamano wa Kijamii inatarajiwa kutolewa leo [[30/4]], wakati matendo ya vyombo vya ujasusi na usalama vya Australia vikitarajiwa kuwa kipaumbele.

Burundi imezindua kampeni ya kuwapatia wasichana wenye umri wa miaka 9 hadi miaka 14 chanjo ya kukinga saratani ya mfuko wa uzazi. Mke wa rais wa Burundi Angeline Ndayishimiye amezindua kampeni hiyo katika Kijiji cha kibimba mkoani Gitega kwa kuwataka watu wapuuze taarifa za uvumi kwamba chanjo hiyo inasabisha utasa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now