Eneo la kaskazini ya Australia liko chini ya uangalizi wa kimbunga, mji wa Cairns ukitarajiwa kubeba madhara makubwa ya kimbunga cha kitropiki kitakacho vuka pwani ya Queensland kesho [[Ijumaa]] asubuhi.
Mataifa ya Afrika Magharibi yameamua kuunda kikosi cha wanajeshi 2,000 kukabiliana na makundi ya itikadi kali yanayozidi kuwa kitisho katika eneo hilo.
Arsenal hatua moja karibu kushinda ligi kuu ya Uingereza baada ya ushindi dhidi ya Brighton.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.





