Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.
Duru mpya ya mazungumzo inatarajia kati ya AFC/M23 na serikali ya DRC. Mazungumzo haya yanafanyika Uswisi kwa mara ya kwanza. Wajumbe kadhaa tayari wamewasili Geneva. Eneo halisi la mikutano bado ni siri kwa sasa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





