Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao

Bench - Swahili.jpg

Waziri wa Nishati Chris Bowen amehakikishia taifa kwamba usambazaji wa mafuta nchini Australia bado uko salama, huku usafirishaji ukifika kama ilivyopangwa na akiba ya kutosha kuifunika nchi kwa siku 37.


Iran imeonya nchi zisijihusishe na vita vya Marekani na Israeli, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhimiza nchi zingine kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, ametangaza kuwa ameondoka nchini humo baada ya kujificha kwa karibu miezi miwili tangu kumalizika kwa uchaguzi wa rais uliofanyika Januari.

Wananchi wa Jamhuri ya Kongo-Brazzaville wanapiga kura leo Jumapili kumchagua rais mpya, huku rais wa sasa, Denis Sassou Nguesso, akigombea muhula wa tano mfululizo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now