Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya habari: Kiongozi mpya wa Iran kuteuliwa baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa

Bench - Swahili.jpg

Mchakato unaendelea kuamua ni nani atakaye iongoza Iran, baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Mchakato unaendelea kuamua ni nani atakaye iongoza Iran, baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.


Serikali ya Kusini Australia ime ahidi ikichaguliwa tena kuongoza jimbo hilo, itafuta ada za shule za umma kuanzia mwaka ujao na kuendelea. Serikali hiyo imetabiri kuwa kufutwa kwa ada hiyo, kutaokoa takriban $8000 kwa kila mtoto katika kipindi chote cha masomo yake.

Watu sita wamefariki dunia baada ya helikopta kuanguka magharibi mwa Kenya. Miongoni mwa waliofariki ni Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ng'eno.

Sam Kerr amewapa Matildas mwanzo mzuri katika kampeni yao ya Kombe la Asia, lakini kocha Joe Montemurro anasema bado kuna kazi zaidi yakufanya.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now