Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari: Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yazua wasiwasi katika makundi ya biashara

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yatapunguza uzalishaji na kuifanya Australia isiwe na ushindani mkubwa, makundi ya biashara yanasema, huku hatua za bajeti zenye utata zikichunguzwa kwa darubini. Uchunguzi wa Seneti kuhusu mabadiliko ya kodi unafanya vikao vyake vya kwanza leo.

Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yatapunguza uzalishaji na kuifanya Australia isiwe na ushindani mkubwa, makundi ya biashara yanasema, huku hatua za bajeti zenye utata zikichunguzwa kwa darubini. Uchunguzi wa Seneti kuhusu mabadiliko ya kodi unafanya vikao vyake vya kwanza leo.

Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745 ndani ya wiki moja baada ya Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa kuahidi kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya wahamiaji haramu.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now