Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari:Maelfu wahofiwa wamefariki baada ya tetemeko kubwa la ardhi katika mji mkuu wa Venezuela

City - Swahili.jpg

Hali ya dharura ime anza kutumika nchini Venezuela baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi, yaliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Caracas, na kuua watu wasiopungua 32 pamoja nakuwajeruhi mamia.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Hali ya dharura ime anza kutumika nchini Venezuela baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi, yaliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Caracas, na kuua watu wasiopungua 32 pamoja nakuwajeruhi mamia.


Mbunge huru Zali Steggall anasukuma serikali itunge sheria ya ukweli katika matangazo ya kisiasa, akisema kuongezeka kwa maudhui ya akili mnemba au A-I kunahatarisha demokrasia.

Waziri wa Afya wa Kenya ameamuru kusitishwa kwa maandalizi ya kituo cha karantini cha Ebola kinachoendeshwa na Marekani, Waziri wa Afya Aden Duale ameambia mahakama Juni 23, baada ya kupatikana na hatia ya kuidharau mahakama kwa kupuuza amri ya awali ya kusitisha ujenzi wa kituo hicho.

Morocco na Afrika Kusini zime kuwa nchi za kwanza za Afrika, kutinga hatua ya mchujo ya Kombe la Dunia 2026.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now