Waziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa Waaustralia 34, hawajulikani walipo baada ya mafuriko makubwa ya ghafla kwenye mpaka wa Nepal-Tibet.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Marekani inasema wanajeshi wa kimataifa wanajiandaa kupelekwa Gaza huku juhudi zikiendelea kutekeleza mpango wa Rais Donald Trump wa kusitisha mapigano. Kikosi hicho kinakusudiwa kusaidia kuleta utulivu Gaza, na kusimamia uondoaji wa kijeshi chini ya mpango huo unaoungwa mkono na Marekani.
Chama Cha Mapinduzi, CCM, kimehitimisha kwa kishindo safari ya kisiasa ya Emmanuel Nchimbi ndani ya chama hicho. Siku moja baada ya kutangaza kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais na kustaafu siasa, Nchimbi amefutwa uanachama kwa sababu zinazohusishwa na nidhamu na maadili.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.






