Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari: Mamilioni ya Waustralia kuamka kesho Julai 1 kwa mishahara ya juu na kodi ya chini ya mapato

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili
Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Bei ya petroli imeshuka hadi viwango ambavyo havijaonekana tangu mwanzo wa 2022. Taasisi ya Petroli ya Australia inasema wastani wa kitaifa wa lita moja ya mafuta yasiyo na risasi ulishuka zaidi ya senti 6 wiki iliyopita - hadi chini kidogo ya dola 1.60.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Bei ya petroli imeshuka hadi viwango ambavyo havijaonekana tangu mwanzo wa 2022. Taasisi ya Petroli ya Australia inasema wastani wa kitaifa wa lita moja ya mafuta yasiyo na risasi ulishuka zaidi ya senti 6 wiki iliyopita - hadi chini kidogo ya dola 1.60.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Mamilioni ya Waustralia wataamka kesho [[Julai 1]] kwa mishahara ya juu na kodi ya chini ya mapato, huku mwaka mpya wa fedha ukileta mabadiliko mbalimbali kwa wafanyakazi na familia. Karibu wafanyakazi milioni 2.8 wanaolipwa mishahara ya chini na ya tuzo watapata nyongeza ya mishahara kutoka kipindi chao cha kwanza cha malipo kamili kuanzia tarehe au baada ya tarehe ya kwanza ya Julai.

Nchini Afrika Kusini, ghasia dhidi ya raia wa kigeni zinazidi kushika kasi. Wachambuzi wanasema serikali ilishindwa mapema kukabiliana na chuki dhidi ya wageni na kutatua matatizo ya kijamii yanayochochea hali hiyo. Serikali imesema imejipanga kukabiliana na mlipuko wowote wa ghasia. "Hatutaruhusu jaribio lolote la kuivuruga nchi yetu, kutoka kwa yeyote, iwe wanaandamana au la," Rais Cyril Ramaphosa alisema Alhamisi.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now