Rais wa Marekani Donald Trump alisaini makubaliano na Iran jana Jumatano ambayo yanaitaka Jamhuri hiyo ya Kiislamu kupunguza kiwango cha akiba yake ya madini ya urani iliyorutubishwa.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Makubaliano hayo pia yanaondoa baadhi ya vikwazo vilivyoungwa mkono na Washington dhidi ya nchi hiyo, hatua itakayoiwezesha Iran kuuza mafuta yake katika soko la kimataifa.
Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers amekosoa kile anachokiita taarifa potofu, kuhusu mabadiliko yaliyopendekezwa na serikali kwenye kodi ya faida ya mtaji, akisema upanuzi wa makubaliano kwa biashara unaonyesha serikali inasikiliza
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, akizungumza na raia wa nchi yake wanaoishi Houston, nchini Marekani, amemshtumu bila kumtaja mtangulizi wake, Joseph Kabila kwa kuchochea hali ya kisiasa inayoendelea nchini DRC. Washirika wa karibu wa Kabila, wakiongozwa na mwanasiasa Félix Momat, wamelaani matamshi ya Tshisekedi, wakisema kauli zake zinadunisha nafasi yake na Ofisi ya urais nchini DRC.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.






