Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani

Bench - Swahili.jpg

Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.


Naveed Akram mwenye miaka 24, alihudhuria kikao hicho kilicho kuwa katika mahakama ya Downing Centre mjini Sydney kwa video.

Wakati usitishaji mapigano ukitarajiwa kuanza siku ya Jumatano, Februari 18, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapigano makali yana ambatana na mashambulizi ya mabomu yanaendelea katika nyanda za juu za Minembwe, katika eneo la Fizi katika mkoa wa Kivu Kusini, kati ya wapiganaji wa Twirwaneho—wanaoshirikiana na AFC/M23—na jeshi la Kongo, linaloungwa mkono na jeshi la Burundi na wanamgambo wa Wazalendo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now