Rwandan suspected genocide financier Felicien Kabuga is seen as International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRMCT) announced him as he is âunfitâ to stand trial due to his severe dementia, in Lahey, Netherlands on August 08, 2023. Source: Anadolu / International Criminal Court / Handout/Anadolu Agency via Getty Images
Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko mjini The Hague, Uholanzi imesema mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Felicien Kabuga amefariki dunia.
Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko mjini The Hague, Uholanzi imesema mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Felicien Kabuga amefariki dunia.
Kabuga aliyekuwa na umri wa miaka 90 alifariki Jana Jumamosi akiwa hospitalini. Jaji wa Mahakama hiyo Graciela Gatti Santana ameamuru uchunguzi kufanywa haraka kubaini chanzo cha kifo chake.
Uchunguzi wa Seneti unao ongozwa na chama cha Greens kuhusu ukosefu wa usawa wa makazi umeanza leo, chama hicho kikiendelea kuwa na wasiwasi kwamba bajeti ya hivi karibuni ya shirikisho ya serikali imeshindwa kufanya chochote kwa ajili ya wapangaji.