Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari: Serikali ya shirikisho yaongeza hatua za usambazaji wa mafuta Australia

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Serikali ya Shirikisho imebadilisha hatua nyingine kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta Australia.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Serikali ya Shirikisho imebadilisha hatua nyingine kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta Australia.


Utafutaji unaendelea wa mwanamume aliyepotea huko Burnett Heads, huku mafuriko yakiathiri Kaskazini mwa Queensland.

Jijini Goma,mashariki mwa DRC, kumefanyika maandamano baada ya shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani siku ya Jumatano na kusababisha vifo vya watu watatu, akiwemo raia wa Ufaransa mfanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, linaloshughulikia masuala ya watoto.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now