Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Jim Chalmers amepuuza mapendekezo kwamba mabadiliko yanayowezekana kwa matumizi hasi ya vifaa au kodi ya faida ya mtaji yatakuwa ni kuvunja ahadi na wapiga kura.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Jim Chalmers amepuuza mapendekezo kwamba mabadiliko yanayowezekana kwa matumizi hasi ya vifaa au kodi ya faida ya mtaji yatakuwa ni kuvunja ahadi na wapiga kura.


Wakati huo huo Mbunge wa chama cha One Nation na naibu waziri mkuu wa zamani Barnaby Joyce, ameiambia runinga ya Channel 7 kwamba mabadiliko yoyote yatawalenga wale ambao wamewekeza kwa muda.

Marais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na William Ruto wa Kenya, wanashiriki jukwaa la pamoja la kujadili masuala ya biashara na uwekezaji kwa mataifa yao yanayotegemea sekta mbalimbali ikiwamo ukuzaji uchumi. Viongozi hao wamekuwa na mazungumzo ya ana kwa ana ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kujumuika na hadhira inayojumuisha viongozi wa kada mbalimbali kujadiliana masuala ya biashara na uwekezaji.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now