Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Boris Pistorius yuko kandani kupata uhusiano wa ulinzi katika eneo la Indo-Pacific, na ziara yake inajumuisha mikutano na serikali za Japani na Singapore.
Benki Kuu inaonya viwango zaidi vya riba vinakuja, huku vita katika Mashariki ya Kati vikisababisha gharama za mafuta na bidhaa zingine.
Kikosi kinachoundwa na mashirika mbalimbali ya usalama na afya nchini Kenya kimeizikuwa zaidi ya miili 30 iliyokuwa imezikwa kwenye kaburi la pamoja katika Kaunti ya Kericho.
Katika taarifa, RSF wamesema wamefanikiwa pia kuchukua udhibiti wa maeneo mengine mawili ya karibu. Hapo Jumanne, mwakilishi wa jeshi la serikali katika eneola Damazin ambao ndio mji mkuu wa jimbo la Blue Nile ulioko mji wa Kurmuk, alisema hali mjini humo ni mbaya na ni vigumu kwa jeshi kushikilia maeneo yao imara.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





