Tangazo hilo limejiri muda mfupi baada ya Bi Ley kushindwa katika uchaguzi wa kiongozi wa chama cha Liberal mjini Canberra. Angus Taylor ndiye kiongozi mpya wa upinzani baada yaku ibuka na ushindi wa kura 31 dhidi ya 17 alizopata Bi Ley.
Kaimu mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC (MONUSCO) ametua mnamo Februari 12, 2026, katika Uwanja wa Ndege wa Goma, ambao ulikuwa umefungwa kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.




