Kabla ya bajeti ya kesho, serikali Jumapili [[10 Mei]] ilitangaza ziada ya dola bilioni 2 kwa miaka minne kwa ajili ya miundombinu ya makazi - ikiwemo barabara, maji, umeme na mifumo ya majitaka - inayohitajika kwa maendeleo mapya.
Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote amesema anafikiria kujenga nchini Kenya kiwanda cha kusafisha mafuta chenye uwezo wa kumudu mapiga 650,000 kwa siku na kitakachogharimu kati ya dola bilioni 15 hadi 17 za Kimarekani. Hayo yameelezwa siku ya Jumapili na gazeti la Financial Times lililofanya mahojiano na mfanyabiashara huyo tajiri barani Afrika aliyeongeza kuwa kiwanda hicho kinatazamiwa kujengwa Mombasa kwa kuwa ina bandari kubwa na yenye kina kirefu zaidi eneo hilo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





