Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari:Pendekezo la bajeti la upinzani lashtumiwa kuwa na madeni, upungufu wa kifedha, na utengano

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri wa Fedha Jim Chalmers ame ongeza mashambulizi ya chama cha Labor dhidi ya hotuba ya majibu ya bajeti ya Angus Taylor, akimshtumu kiongozi huyo wa Upinzani kwa kutoa pendekezo lenye madeni, upungufu wa kifedha, na utengano.

Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Waziri wa Fedha Jim Chalmers ame ongeza mashambulizi ya chama cha Labor dhidi ya hotuba ya majibu ya bajeti ya Angus Taylor, akimshtumu kiongozi huyo wa Upinzani kwa kutoa pendekezo lenye madeni, upungufu wa kifedha, na utengano.

Wiki mbili za mapigano makali nchini Sudan Kusini zimesababisha vifo vya zaidi ya watu 61, wakiwemo watoto tisa, kundi la madaktari wa eneo hilo limetangaza siku ya Jumatano. Mapigano haya ni sehemu ya vita kubwa zaidi ambayo imeikumba nchi hiyo tangu mwaka 2023.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now