Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari:Waathiriwa wa maandamano wakataa mapendekezo ya sasa ya kuhusu fidia nchini Kenya

Bench - Swahili.jpg

Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]].


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]].


Bw. Albanese anasema mkutano huo unatoa nafasi kwa majimbo na wilaya zote nchini Australia, kupokea taarifa mpya kuhusu minyororo ya usambazaji wa nishati na kuratibu majibu ya mgogoro wa mafuta.

Zikiwa zimesalia siku nne kufikia tarehe ya mwisho iliyowekwa na Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini Kenya kwa ajili ya kuwasilisha maoni ya umma kuhusu mfumo uliopendekezwa wa fidia ya waathiriwa wa maandamano ya mwaka 2024 na 2025, familia zilizoathiriwa zimekataa mapendekezo ya sasa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now