Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari: Wagonjwa wa Ebola waanza kupona DR Congo

(AP Photo/Samaritan's Purse)

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba, wagonjwa wengine zaidi wa Ebola wanatazamiwa kupona, hasa pale ugunduzi na matibabu yanapoanza mapema, wakati juhudi za kukabiliana na ugonjwa huo hatari zikiongezeka.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba, wagonjwa wengine zaidi wa Ebola wanatazamiwa kupona, hasa pale ugunduzi na matibabu yanapoanza mapema, wakati juhudi za kukabiliana na ugonjwa huo hatari zikiongezeka.


Mwishoni mwa wiki iliyopita, mfanyakazi mmoja wa maabara aliyekuwa ameambukizwa, alipona ugonjwa huo na kuifanya idadi ya waliopona kufika watano. Nje ya Afrika, wagonjwa wachache wanaendelea kutibiwa nchini Brazil na Italia, baada ya kupata maambukizo wakitokea mataifa yaliyokumbwa na ugonjwa huo.

Mweka Hazina Kivuli Tim Wilson anasema Upinzani wa Mseto hauta babishwa na chama cha One Nation, kufuatia kura ya maoni ya Australian Financial Review inayoonyesha kura ya msingi ya chama hicho inakifanya kuwa maarufu zaidi nchini.

Kura ya msingi ya Upinzani wa Mseto ni asilimia 20, huku uungwaji mkono wa One Nation ukiongezeka kwa alama nne hadi asilimia 31.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now