Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu atuliza hofu kuhusu sheria inayo tarajiwa kwa upunguzaji wa kodi ya mtaji

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema upunguzaji wa kodi ya faida ya mtaji, hautajumuishwa katika sehemu ya kwanza ya sheria inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni katika siku zijazo.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema upunguzaji wa kodi ya faida ya mtaji, hautajumuishwa katika sehemu ya kwanza ya sheria inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni katika siku zijazo.


Serikali ya shirikisho inasema Australia ina karibu wiki moja zaidi ya petroli na dizeli, iliyohifadhiwa sasa kuliko ilivyokuwa mwanzoni mwa mzozo wa Iran.

Uganda imeripoti watu wawili wapya kuwa wameambukizwa Ebola, na kufanya jumla ya maambukizi kufikia saba, huku mamlaka za afya zikisema visa vyote vinahusishwa na mlipuko unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now