Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu

Bench - Swahili.jpg

Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).


Kiongozi wa upinzani Angus Taylor anasema serikali ya shirikisho inataka kutoza kodi ya ziada, kwa nyumba ambayo anasema itapunguza utoaji wa nyumba.

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wamekubaliana hatua kadhaa za kibinaadamu na kuwaachilia huru wafungwa ndani ya siku 10. Hayo ni baada ya mazungumzo yaliyofanyika nchini Uswisi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now