Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Taarifa ya Habari: Jamii yawa Islamu nchini katika hali ya tahadhari kubwa

Bench - Swahili.jpg

Ripoti mpya ya kiuchumi inaonya Australia ina elekea kupoteza hadhi yake, kama taifa lenye deni la chini, huku mikopo ya serikali ikifikia viwango ambavyo havija onekana tangu vita vya pili vya dunia.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Ripoti mpya ya kiuchumi inaonya Australia ina elekea kupoteza hadhi yake, kama taifa lenye deni la chini, huku mikopo ya serikali ikifikia viwango ambavyo havija onekana tangu vita vya pili vya dunia.


Katika siku ya kwanza ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Msikiti wa Lakemba ambao uko mjini Sydney, umepokea barua ya tatu ya vitisho ndani ya mwezi mmoja, na kuacha jamii ya Waislamu wa Australia katika hali ya tahadhari. Polisi wameanzia uchunguzi wa kisayansi na kuongeza doria katika maeneo ya kidini, wakati meya wa eneo hilo Bilal El-Hayek ametoa wito wa umoja.

Mwezi mmoja baada ya waasi wa M23/AFC kuondoka kwenye mji wa Uvira jimboni Kivu Kusini, Mashariki mwa DRC, maisha ya kawaida yameanza kurejea taratibu, huku utawala wa Kinshasa ukirejea.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now