Waumini wa dini laki kristo walisherehekea Jumapili ya Pasaka, wakiadhimisha tukio hilo wakati vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati vikifunika sehemu kubwa ya dunia.
Papa alitumia likizo hiyo kuwahimiza viongozi kukomesha vita na kuleta amani kwa wote.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





