Protesters gather to respond to the recent US-Israel bombings on Iran, Sydney, Sunday, March 1, 2026. Iran's Supreme Leader Ali Khamenei, who led the Islamic regime for nearly four decades, has been killed in an operation launched by Israel and the US. (AAP Image/Sarah Wilson) NO ARCHIVING Source: AAP / Sarah Wilson/AAPIMAGE
Wairani-Waaustralia wanaelezea hisia mseto kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran, pamoja na mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei.
Wairani-Waaustralia wanaelezea hisia mseto kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran, pamoja na mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei.
Ingawa wengi wao wanatumai kifo chake kitasababisha uhuru wa Iran, wengine wamesema hawaamini kwamba Donald Trump na Benjamin Netanyahu wana nia njema.