Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.
Katibu Mkuu wa chama hicho amesema chama chake kimepitia misukosuko ya kila aina, na ame omba wanachama na wananchi kwa ujumla kusaidia chama hicho kwa michango ili kiweze kuendesha shughuli zake zaki siasa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






