epa12475771 Pope Leo XIV holds an audience with participants of the Fifth World Meeting of Popular Movements in the Paul VI Hall, Vatican City, 23 October 2025. Source: ANSA / MAURIZIO BRAMBATTI/EPA/AAP Image
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa mwenyewe 2002.

Papa Leo XIV alitoa kauli hiyo alipo ongoza misa, mbele ya takriban waumini zaidi ya laki moja kwenye mji wa Kilamba.