Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Yaliyo jiri Afrika: Sudan yaikosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa RSF Daglo

The Map of Africa

Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Gode Migerano, Jason Nyakundi

Source: SBS


Share this with family and friends


Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.


Hemeti alikutana na Rais Yoweri Museveni katika Ikulu ya Entebbe Ijumaa. Uongozi wa Sudan umeyakosoa mapokezi aliyopewa na rais wa Uganda na kuyaita "dharau kwa ubinadamu".

Hemeti siku ya Ijumaa alikutana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika Ikulu ya Entebbe, siku moja baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kugundua kuwa vikosi vyake vilifanya vitendo vya mauaji ya halaiki huko Darfur.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now