Burundi's President Evariste Ndayishimiye delivers a speech during the annual African Union Summit at the Addis International Convention Center in Addis Ababa, Ethiopia, Saturday, Feb. 14, 2026. Source: AP / Amanuel Sileshi/AP/AAP Image
Kuteuliwa kwa Burundi kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika, kunatarajiwa kuleta tija katika juhudi zakutatuwa migogoro inayo zikabili baadhi ya nchi za jumuia hiyo kutokana na Burundi kuwa na uzoefu katika maswala ya kusimamia amani.

Rais Evariste Ndayishimiye amesema, licha ya kuwepo na changamoto ana imani Burundi itafanikisha majukumu iliyokabidhiwa kwa kuwashirikisha wadau wote, na kumtaka kila Mrundi kuwa mfano mzuri katika ushirikiano.