Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Yaliyojiri Afrika: Duale "serikali haita shauriana na raia kuhusu karantini ya Ebola"

Aden Duale, Waziri wa Afya wa Kenya.jpg

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake inafanya jambo sahihi kwa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha karantini ya Ebola nchini humo.


Published

Updated

By Jason Nyakundi

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake inafanya jambo sahihi kwa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha karantini ya Ebola nchini humo.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Waziri wa Afya, Aden Duale naye amerudia kauli hiyo bungeni jana, ambako ali sisitiza kuwa "serikali haita shauriana na raia kuhusu uamuzi wa ujenzi wa kituo cha karantini cha Ebola nchini humo".

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara ya siku tatu nchini Urusi ambako amekutana na Rais Vladimir Putin. Ziara hiyo inafanyika wakati Tanzania ikikabiliwa na ukosoaji kutoka mataifa ya Magharibi na mashirika ya haki za binadamu kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya uchaguzi wa mwaka jana.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now