Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Yaliyojiri Afrika: Idadi ya watu wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola nchini DRC yafika 900

Uganda has experienced the first cross-border case of the deadly virus since an outbreak started in neighboring Congo last year.

Uganda has experienced the first cross-border case of the deadly virus since an outbreak started in neighboring Congo last year. Source: AAP

Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.


Wakati huo huo Wizara ya Afya ya Uganda imesema wahudumu wawili wa afya katika hospitali binafsi jijini Kampala wamekutwa na maambukizi baada ya kuhusika katika matibabu ya mgonjwa kutoka Kongo aliyefariki mwezi uliopita.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now