Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Yaliyojiri Afrika:Kasi yakuenea kwa ugonjwa wa Ebola kwa lazimisha serikali ya Congo kutoa tahadhari

30072014_ebola_800x600.jpg

Health care workers at an Ebola scene in Liberia. (AAP)

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Hatua hii imejiri baada ya takriban watu 30 kufariki, tangu mwanzo wa mwezi Mei katika kambi ya Kigonze huko Bunia, kitovu cha mlipuko huo. Hata hivyo, mamlaka zimeeleza kuwa idadi ya visa vilivyothibitishwa vya Ebola huko Kongo imeongezeka hadi kufikia 933, ikiwa ni pamoja na vifo 245.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now