Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Yaliyojiri Afrika: Kenya na Uganda za zindua upanuzi wa ujenzi wa reli

The Map of Africa

Marais wa Kenya na Uganda walikutana mjini Kisumu, kuzindua ujenzi uliocheleweshwa wa upanuzi wa reli yenye thamani ya mabilioni ya dola iliyojengwa na China.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Marais wa Kenya na Uganda walikutana mjini Kisumu, kuzindua ujenzi uliocheleweshwa wa upanuzi wa reli yenye thamani ya mabilioni ya dola iliyojengwa na China.


Akizungumza katika mkutano huo, Rais wa Kenya William Ruto alisema reli hiyo itakuwa na umuhimu kwa kizazi cha sasa na vijavyo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now