Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Yaliyojiri Afrika:M23 yashinikiza mabadiliko ya katiba ya DRC na uhuru wa majimbo ya Kivu kujiongoza

Afrika kwenye ramani ya dunia.png

Wawakilishi wa serikali ya DR Congo na kundi la M23 wanajiandaa kukutana nchini Uswizi kwa awamu nyingine ya mazungumzo.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Wawakilishi wa serikali ya DR Congo na kundi la M23 wanajiandaa kukutana nchini Uswizi kwa awamu nyingine ya mazungumzo.


Maswala nane yalipendekezwa katika mazungumzo ya mwisho ya pande husika, ila ni maswala mawili tu yaliyo kubaliwa na serikali ya DRC yakiwemo, kusitisha mapigano na kubadilishana wafungwa.

Hata hivyo uongozi wa M23 una endelea kusisitiza marekebisho ya katiba yatakayo tambua mamlaka ya kundi hilo pamoja na uhuru wa majimbo ya Kivu kujiongoza.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now