Viongozi kadhaa wa bara la Afrika wameungana na Muungano wa Afrika kulaani vita vinavyo endelezwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Viongozi hao wame onywa kwamba, kuenea kwa mzozo huo, kuna hatarisha amani, usalama na uchumi wa Afrika.
Muungano wa Afrika umetaka vita hivyo visitishwe mara moja.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





