Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema Jumatatu itafungua vituo vitatu vya matibabu, kwa ajili ya watu walioambukizwa virusi vya Ebola katika jimbo la Ituri.
Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa mlipuko huo ni dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi kimataifa na limetuma pia timu ya wataalamu na vifaa ili kusaidia kupambana na kuenea kwa aina hii ya virusi inayofahamika kama "Bundibugyo" ambayo haina tiba wala chanjo zilizoidhinishwa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





